Tuesday, May 15, 2012

Wajue Wakuu Wapya wa Wilaya za Kusini

Wakuu wetu wapya wa wilaya ni hawa wafuatao wakiwemo wanachama wa SEDO: A: Mkoa wa Lindi: 1. Dr. Nasoro Ali Hamidi (Lindi) 2. Ephraem Mfingi Mmbaga (Liwale) 3. Mh. Agness Hokororo, Mbunge Viti Maalum - Mtwara (Ruangwa) 4. Ulega H. Abadallah (Kilwa) 5. Regina Chonjo (Nachingwea) A: Mkoa wa Mtwara: 1. Farida S. Mgomi (Masasi) 2. Christopher Magala (Newala) 3. Festo Kiswaga (Nanyumbu) 4. Wilman Kapenjama Ndile (Mtwara) 5. Ponsiano Nyami (Tandahimba) Una lipi la kumwambia mkuu wako wa wilaya ambayo ungependa ayashughulikie kwa ustawi wa watu wetu? SEDO inafanya mpango wa kuwa na mawasiliano nao ya mara kwa mara ili kujuza kero za wanakusini kwenye maeneo yao ya kazi. Tafadhali "tufunguke" ili wajue kusini ina wenyewe.

1 comment:

  1. NADHANI NITAKUWA MTU WA KWANZA KUTOA MAONI YANGU KATIKA SAFU HII ,UKWELI MIMI SITOPENDA KUTOA HOJA KWA WAKUU WAETU HAO KWANI HAO NI WAPITA NJIA MIMI HUWA NAPENDA KUWAITA ,WATU WA KUWATOLEO MAONI NI WALE WABUNGE WETU WA MAJIMBO WAO NDO HASWA WANAPASWA KUONGEA NA MKUU WA WILAYA KUWA BWANA KWANGU KUNA KERO HILI NA LILE SASA TUKIMPELEKEA MKUU WETU HAJUWI LOLOTE ,MIMI NAONA MAONI YANGU NI HAYO

    ReplyDelete