Ndugu wanakusini,
Taarifa iliyofikia ni kuwa Mahakama ya Arusha imemvua ubunge mbunge machachari wa CHADEMA Mh. Godbless Lema baada ya kuridhika na mashtaka na ushahidi ulliotolewa dhidi yake katika kesi ya kupinga matokeo ya uchaguzi wa ubunge wa jimbo la Arusha Mjini iliyokuwa imefunguliwa na wanachama wa CCM. Taarifa zaidi tutawajulisha kadri tunavyozipata.
SEDO Sekretariati
Dar es Salaam
No comments:
Post a Comment