Sunday, March 25, 2012

Mkuu wa Wilaya ya Liwale Kuzikwa tarehe 26 Machi 2012 Kibaha, Pwani

Taarifa ambazo uongozi wa SEDO umezipata ni kwamba mwili wa marehemu Mh. Paul Chiwile, aliyefariki dunia siku mbili zilipita mjini Lindi akisubiri kuhudhuria kikao cha mkoa, utazikwa mjini Kibaha siku ya Jumatatu tarehe 26 Machi 2012.

Taarifa kamili itatolewa na uongozi kupitia KF Jamii mara ratiba ya mazishi itakapopatikana.

Chanzo: SEDO Sekretariati

No comments:

Post a Comment