Tuesday, December 06, 2011

Pole Ndugu yetu Bernard Kambanga kwa kufiwa na binti yako

Ndugu yetu Bw. Bernard Kambanga kutoka Nachingwea anayeishi Dar es Salaam amefiwa na binti yake mpendwa tarehe 28.11.2011 na kuzikwa tarehe 29.11.2011 Kimara Suka jijini Dar es Salaam. Tunaomba Mwenyezi Mungu akupe nguvu wewe na familia yako. Pia sisi wanakusini wote wa Lindi na Mtwara tunaungana na familia yako kwenye wakati huu mgumu.


Geoffrey Mwambe
Mwenyekiti - SEDO
Cell: +255784509891

1 comment:

  1. Pole sana Mr. Kambanga na Familia yako tupo pamoja kwenye kipindi hiki kigumu

    ReplyDelete