Tuesday, August 30, 2011

Nani ana wajibu wa kuleta Maendeleo Kusini?

Baada ya kukusanya maoni kutoka kwa wadau wakusini kutokana na swali hapo juu tumepata majibu yafuatayo

Serikali                                   30%
Wawakilishi                          10%
Wananchi wenyewe            100%

Wanakusini wote "Pamoja Tunaweza" jibu tumelipata kila mtu achukue hatua kwa nafasi yake.


1 comment:

  1. Ningependa kuwatakia wanakusini wotte Eid El Fitir na heri sana kwa Waumini wote wa Dini ya Kiislamu duniani, nchini na kwa namna ya pekee wa Lindi na Mtwara. Tuko pamoja na Mungu atuongoze kwenye mshikamano huu mpya wa Wanakusini wakati huu... Mwambe, Geoff

    ReplyDelete