Wednesday, August 31, 2011

Eid el fitri!

Ningependa kuwatakia wanakusini wotte Eid El Fitir na heri sana kwa Waumini wote wa Dini ya Kiislamu duniani, nchini na kwa namna ya pekee wa Lindi na Mtwara. Tuko pamoja na Mungu atuongoze kwenye mshikamano huu mpya wa Wanakusini wakati huu... 

Mwambe, Geoff 

No comments:

Post a Comment