Tuesday, August 30, 2011

SEDO

Wadau wa kusini, naomba mtu atakayejitolea kuwa mratibu wa vikao vya kuwakutanisha wanakusini kama ifuatavyo:
1. Mratibu - DSM 
2. Mratibu - Mtwara 
3. Mratibu - Lindi 
4. Mratibu - Mikoani 
5. Mratibu - Diaspora (Nje ya nchi) 


Naomba watakaojitolea watume e-mail kwa: mwambe.geoffrey@yahoo.com au kusiniforum@gmail.com. 


Majukumu ni: 
1. Kuwaunganisha wanakusini kwa kuwatafuta na kukusanya maoni yao 
2. Kuandaa vikao vya wanakusini kama forum ya kujadili kero, fursa na mikakati ya 
     maendeleo nyumbani 
3. Kuandaa program, kuhamasisha na kukusanya michango ya maendeleo 
4. Kujiweka pamoja na kusaidiana kwa hali na mali kwenye shughuli za msingi za maendeleo   
     yetu 


Geoffrey Mwambe 
Chairman - SEDO Kusini

No comments:

Post a Comment