Friday, May 18, 2012

Kila la Kheri Wadau wa SEDO kwenye Majukumu Mapya

Uongozi wa SEDO unachukua nafasi hii kuwapongeza wadau wake walioteuliwa hivi karibuni kubeba dhamana za kuongoza wilaya mbali mbali nchini ambao ni: 1. Dr. Nassor Hamid (Lindi) 2. Yahya Nawanda (Iramba) 3. Elias Hassan Masala (Kilombero) 4. Mh. Agnes Hokororo (Ruangwa) 5. Shaibu Ndemanga (Mwanga) 6. Suleimani Kumchaya (Tabora) 7. Abdula Lutavi (Namtumbo) 8. Said Amanzi (Morogoro) Tunawatakia kila la kheri na waoneshe uwezo uliotukuka katika kuwaletea maendeleo wanaowaongoza. SEDO Sekretariati Dar es Salaam

1 comment:

  1. Yuko pia mdau Manzie Mangochie ambaye ataiongoza wilaya ya Geita. Hongera mdau wetu kusini.

    ReplyDelete