Thursday, September 01, 2011


Pamoja na kujadiliana mambo ya maendeleo yetu ya 

kusini,hebu tukumbushane mila na desturi zetu,

hivi mnakumbuka hizi ngoma zetu za asili kama vile 

Chikundumbwi,Mzobe,Likasaula,Msolopa,Manganje,

Sindimba,Liwayaya,Tomatoma,Masewe,Damba,

Manguvila na nyingine unazozijua wewe,

lini kwa mara ya mwisho umewahi kucheza na kuziona? 

na umekumbuka kitu gani? 

Karibuni, mkataa kwao..


Hassan Elias

No comments:

Post a Comment