Saturday, December 17, 2011

Mkutano wa Wana-Newala Msimbazi Centre Kesho Jumapili tar 18 Desemba 2011

Wana-Newala waishio Dar es Salaam na mikoa ya jirani, mnaombwa kuhudhuria mkutano wa wana-newala ambao umeiitishwa na mbunge wa Newala Mhe. George Mkuchika siku ya Jumapili ya tar 18 Desemba 2011.

Muda: Saa 4 asubuhi
Mahali: Msimbazi Center
Mada: Changamoto zinazoikabili wilaya ya newala

Karibuni wote.

NB: Tangazo limetolewa na Pilila Lawi Sijaona kupitia SEDO facebook page

1 comment:

  1. Jamani wadau wa kusini mnakaribishwa kwenye kikao hicho muhimu. Watu wa Newala mnakaribishwa kwa wingi kwenye kikao hicho. Daima tuwe fahari ya kusini.

    ReplyDelete