Thursday, August 25, 2011

SEDO Yatimiza miaka 8

Wadau wa kusini napenda kuwaarifu kuwa taasisi yetu ya kusini SEDO juzi 

tarehe 23 Aug 2011 ilitimiza miaka minane (8) tangu ilipoanzishwa pale kwenye 

ukumbi wa Viwanja vya Saba saba kwa Mwl Nyerere Trade Fair. Taarifa hii 

haikuweza kuletwa kwenu juzi kutokana na sababu za kiufundi. Tuwe pamoja ili 

tuijenge Lindi na Mtwara

Geo Mwambe - Mwenyekiti SEDO

No comments:

Post a Comment