Sunday, September 25, 2011

Msiba Kusini



Kwa Majonzi na Masikitiko nawatangazia kifo cha ndugu na Mpendwa wetu Wallafrid Nchimbi kilichotokea huko Ifisi - Mbalizi Mbeya Kutokana na ajali ya gari (pichani) ambapo roli alilokuwa anaendesha kugongana na gari lingine aina ya land rover na hatimaje kupinduka na kusababisha vifo vya watembea kwa miguu watatu. Mwili wa Wallafrid ulisafirishwa jana toka Mbeya na hatimaje umeondoka leo alfajiri kwenda  nyumbani kwao Mwena - Ndanda kwa Mazishi

"Bwana Alitoa na Bwana Alitwaa"

Mwenyekiti SEDO - G. Mwambe

No comments:

Post a Comment