Korosho hazijauzwa kusini na waliouza hawajapewa pesa zao. Nakumbuka wakulima wa Tandahimba mwaka juzi kupitia umoja wao walishurutishwa na mkoa kutoendelea kununua korosho kwa sh.2,000 na zaidi kwa kilo. Na ushirika wao ulitishiwa kufungiwa!!! Jamani mbona ni sisi tu kila siku? Ni nini hasa wananchi wetu wafanye kujikomboa? Naomba mawazo yenu yaliotukuka wadau.
Tutafuta umaskini kusini?
No comments:
Post a Comment