Kila siku nimekuwa nikiumia na kufikiri ni lini watu wa Kusini tutakuwa
na uchungu wa kweli na maendeleo ya nyumbani?
Inashangaza baada ya kuazimia tuwe na chombo chetu cha
mawasiliano, tulitengeneza BLOG ya kusini. Blog imeletwa kwetu
lakini sasa inaonekana hatuitumii. Je, ni lile lile la
watu wa Kusini kutojitambua na kujithamini?
Au sisi ni wageni wa blogs kweli? Tuna Kusini Forum na ChingaOne Blogs
lakini hatuzitumii ila tunakesha kwa Michuzi, Jamii Forum, nk.
TUBADILIKE la SIVYO KUBADILISHA KUSINI
itahitaji vizazi maelfu. Nakerwa na udhaifu wetu wana
Kusini kwa kupenda vya wenzetu na kudharau vyetu.
Am sorry to say this!!!!
Geoff Mwambe
No comments:
Post a Comment