Tuesday, February 07, 2012

Kikao cha Maendeleo cha Wana-Lindi na Mtwara Jijini DSM

Ndugu wanakusini,

Mnaalikwa kwenye kikao cha Maendeleo ya mikoa ya Lindi na Mtwara tarehe 12.02.2012 saa 6 mchana nyumbani kwa Balozi Meja Jenerali Makame, Mikocheni jirani na maghorofa ya TPDC off barabara ya Rose Garden.

Ni kikao cha kawaida cha kujadili maendeleo na kujiwekea mkakati wa utekelezaji wa majukumu ya msingi ya umoja wetu, SEDO.

"Timiza Wajibu Wako, Tuendeleze Kusini"

Imetolewa na:
Ofisi ya Sekretariati
South Eastern Development Organization (SEDO)

Simu: 0717-159001/ 0782-503840/ 0765-338119
Email: kusiniforum@gmail.com

No comments:

Post a Comment