Thursday, August 25, 2011

Je kuna umuhimu wa Wananchi kuelimishwa kuhusu matumizi ya NETI


Hivi ndivyo kampeni ya Malaria Haikubaliki ilivyopokelewa na wananchi wa kijiji cha Mkarakate wilayani Masasi, Nafikiri kuna umuhimu wa wahusika kutoa elimu chanya kuhusu matumizi ya bidhaa husika, sidhani kama watu hawa walipatiwa elimu iliyotosha kutokana na matumizi ya Neti , ni wazi kabisa mapokeo ya bidhaa haikuwafikia vilivyo - Malaria haikubaliki Chukua hatua!

No comments:

Post a Comment